Psalms 63:4

4 aNitakusifu siku zote za maisha yangu,
na kwa jina lako nitainua mikono yangu.
Copyright information for SwhNEN